S01E38 - IKUNGI: Makala kuhusu Mradi ya Kupunguza Umasikini na Kutunza Mazingira

Muda Ilipowekwa : 2016-11-07 12:05:00

Kupitia Mradi wa Kupunguza Umasikini na Kutunza Mazingira Wanawake na vijana katika Wilaya ya Ikungi, Mkoani Singinda walijengewa uwezo katika ufugaji wa nyuki, na jinsi ya kutumia mizinga ya kisasa na vifaa maalumu vya kurinia mazao yatokanayo na nyuki. Kama sehemu ya Mradi vikundi viligawiwa mizinga ya kisasa na zana bora za kuvunia mazao ya nyuki kama vile; asali na nta. Wananchi wengi wameelezea mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kipato na ubora wa asali. Alikadhalika kutokana na Mradi huu wananchi wamepata mwamko wa kutunza mazingira na hivyo kulinda uoto wa asili. 

S01E38 - IKUNGI: Makala kuhusu Mradi ya Kupunguza Umasikini na Kutunza Mazingira

Muda ilipowekwa : 2016-11-07 12:05:00

Kupitia Mradi wa Kupunguza Umasikini na Kutunza Mazingira Wanawake na vijana katika Wilaya ya Ikungi, Mkoani Singinda walijengewa uwezo katika ufugaji wa nyuki, na jinsi ya kutumia mizinga ya kisasa na vifaa maalumu vya kurinia mazao yatokanayo na nyuki. Kama sehemu ya Mradi vikundi viligawiwa mizinga ya kisasa na zana bora za kuvunia mazao ya nyuki kama vile; asali na nta. Wananchi wengi wameelezea mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kipato na ubora wa asali. Alikadhalika kutokana na Mradi huu wananchi wamepata mwamko wa kutunza mazingira na hivyo kulinda uoto wa asili. 

Weka maoni yako Barua pepe yako haitaonekana kwingine. Pia maelezo yako hayatatumika sehemu nyingine . Maelezo ya muhimu yamewekewa *.