S01E37 - BUKOBA VIJIJINI: Makala kuhusu Mradi ya Kupunguza Umasikini na Kutunza Mazingira

Muda Ilipowekwa : 2016-11-07 12:02:00

Katika Wilaya ya Bukoba Vijijini mradi huu wa Kupunguza Umasikini na Kutunza Mazingira kwa kiasi kikubwa tulikuwa tunaufanya kwa kutumia watu wenye juhudi kwenye kilimo (CHAMPIONS). Bwana Ahmed Mbae ni moja kati ya wadau waliokuwa na utayali na tukafanya nae mradi huu.

S01E37 - BUKOBA VIJIJINI: Makala kuhusu Mradi ya Kupunguza Umasikini na Kutunza Mazingira

Muda ilipowekwa : 2016-11-07 12:02:00

Katika Wilaya ya Bukoba Vijijini mradi huu wa Kupunguza Umasikini na Kutunza Mazingira kwa kiasi kikubwa tulikuwa tunaufanya kwa kutumia watu wenye juhudi kwenye kilimo (CHAMPIONS). Bwana Ahmed Mbae ni moja kati ya wadau waliokuwa na utayali na tukafanya nae mradi huu.

Weka maoni yako Barua pepe yako haitaonekana kwingine. Pia maelezo yako hayatatumika sehemu nyingine . Maelezo ya muhimu yamewekewa *.